
Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo akichangia hoja bungeni.

Nyota wa LA Lakers, Anthony David akijiandaa kuucheza mpira kwa Lebron James kwenye mchezo dhidi ya Phoenix Suns alfajiri ya kuamkia leo kwenye NBA Playoff

Mwanamke huyo akiwa na wanaume zake

Mshambuliaji wa Azam, Prince Dube akishangilia bado baada ya kuifunga Yanga miezi miwili iliyopita.

Mlinzi wa kati wa Simba, Joash Onyango (kushoto) na Taddeo Lwanga (kulia) wakifanya mazoezi kabla ya kuwavaa Dodoma Jiji.

Brigedia Jenerali Marco Gaguti, Mkuu wa mkoa wa Mtwara

Picha ya msanii Nedy Music kushoto, kulia ni Ommy Dimpoz

Mbunge wa kuteuliwa Dkt. Bashiru Ally

Deus Kaseke wa klabu ya Yanga akishangilia bao baaada ya kuwafunga Mwadui.