Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa Misa ya Kitaifa ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu – Babati mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba 2023.

14 Oct . 2023

Baadhi ya mifugo (Ng'ombe) walioletwa katika mnada wa Ndala uliopo wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ambako Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Simon Pasua alikuwa akizungumza na wafugaji pamoja na wafanyabiashara wa mifugo

14 Oct . 2023

Basi lenye thamani ya Milioni 500 lililokabidhiwa kwa Geita Gold FC na GGML

14 Oct . 2023