Jumapili , 15th Oct , 2023

Umeshaisikiliza Maelekezo Chapter 3 ya Moni wa Majengo sokoni Moni Centrozone? Kuhusu kucheza na maneno,beat, glows, swaggz zote ni 'A'.

Picha ya Moni Centrozone

Kuna line anasema "Malume ndio best baada ya Professor Jay, Jay Mo na Langa. rappers waliobaki naua wote"

Wasanii wengine aliowazungumzia Moni kwenye ngoma hiyo ni Godzilla "RIP", Q Chief, Young Killer na Chino Wana Man.

Maelekezo Chapter 1 ilitoka mwaka 2022, chapter 2 ilitoka 2021 na chapter 2023.