Sunday , 15th Oct , 2023

Video ya Naibu Waziri Wizara ya Sanaa Utamaduni Na Michezo Hamis Mwijuma Mwana FA akizungumza jambo na Konde Boy Harmonize. 

Picha ya Mwana FA na Harmonize

Mwana FA na Harmonize tayari wameshakutana kwenye ngoma ya ‘Sio kwa ubaya’ iliyotoka miezi 10 iliyopita.

Unadhani Mwana Fa alikuwa anamwambia nini Harmonize? Tazama video kamili hapo chini.