Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

AUDIO: Nay aachiwe huru na wimbo wake upigwe - JPM

Monday , 27th Mar , 2017

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Magufuli, amelitaka jeshi la polisi nchini kuhakikisha linamwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego, aliyekamatwa mjini Morogoro jana.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Waziri wa Habari, Utamaduni na  Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema Rais Magufuli amesema wimbo wa 'wapo' ulioimbwa na msanii huyo ni mzuri hivyo kutakiwa upigwe.

Mwakyembe amesema Rais amesema 'biti' zilizomo katika wimbo huo ni nzuri na anafurahishwa nazo hata maneno yake yanafikisha ujumbe kwa jamii.

"Nimechukua hatua kama waziri mwenye dhamana kuagiza polisi wamuachie yule kijana na kuwaomba BASATA waache kumuhoji huyo kijana, nashauri BASATA wamshauri aje Dodoma ili tushauriane mambo ya kuongeza, wimbo utakuwa mzuri kweli, mimi mwenyewe nimeisikiliza ile biti, naungana na Rais, kwa kweli ile biti kali" Amesema Mwakyembe

Agizo hilo limetoka saa chache baada ya Baraza la Sanaa Tanzania la Taifa (BASATA) kutangaza kuufungia kwa madai ya kukiuka baadhi ya kanuni katika maudhui yake.

Msikilize hapa Waziri Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma

 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala