
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu Mb), akiwa na Mkurugenzi wa Miradi wa Mfuko wa Maendeleo wa Sweden (SWED FUND) Bw. Stefan Falk, walipokutana mjini Stockholm, Sweden
27 Sep . 2023

Afisa Maendeleo ya uchumi wa jamii, kutoka GGML, Regina Mabula, akiwapatia maelezo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu kuhusu mchoro wa 3D wa Uwanja wa Magogo ambao ni moja ya miradi inayofadhiliwa na GGML katika ujenzi wake.
27 Sep . 2023

Cheche za moto zilichochea moto huo, na kusababisha sehemu za dari kupata moto na kuanguka, maafisa wa moto walisema.
27 Sep . 2023