Mez B; Nimeusoma Mchezo
Mez B, msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipta hapa nchini baada ya kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina Shemeji, amesema kuwa amekuwa kimya kwa muda akijaribu kuangalia soko la muziki linakwendaje, na kutoa kitu ambacho anaamini kinaendana na mazingira ya sasa.