Bobi Wine anusurika kifo UG
Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Bobi Wine amenusurika kupoteza maisha katika ajali mbaya ya gari huko Uganda, ajali ambayo ilisababishwa na hitilafu katika taa za kuongozea magari katika moja ya barabara Jijini Kampala.