Bonge la Nyau; Sitegemei Muziki

Msanii wa Bongofleva ambaye ameweka wazi kuwa yupo vizuri pia katika masuala ya kutayarisha muziki, Bonge la Nyau kutoka Sharobaro Records, amesema kuwa hategemei muziki peke yake ili kuendesha maisha yake hapa mjini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS