P Unit waongoza kwa kuzimeki KE
Kundi la muziki la P Unit la nchini Kenya, limetajwa kuwa ndio kundi maarufu zaidi la muziki lililoteka vituo vya radio vya nchini humo, ambapo wanaongoza kwa kipato kinachotokana na mauzo na matumizi ya kazi zao katika media.