Ustaadh, PNC na hili jingine
Baada ya kitendo cha Ostaz Juma Namusoma kuweka mtandaoni picha na Video inayomuonyesha msanii PNC akiwa amerejea kwake na kumpigia magoti kumuomba msamaha, kitendo ambacho kimeamsha hisia tofauti kutoka kwa watu wengi hususan wasanii.