Dengue yazidi kuwaandama wasanii TZ

Asha Baraka

Gonjwa la homa ya Dengue limeendelea kuwa changamoto hapa nchini na kutikisa tasnia ya burudani, ambapo baada ya kuwapata wasanii Dr. Cheni na Ray C, sasa limeingia katika muziki na kuwanasa wanamuziki kadhaa wa Twanga Pepeta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS