Octopizzo kuja na video ya kisayansi

Octopizzo

Rapa Octopizzo ameamua kuleta ladha ya tofauti katika sanaa ya video za muziki Afrika Mashariki, ambapo yupo katika mchakato wa kutengeneza video inayohusisha matukio yaliyoongezewa vionjo na teknolojia ya sayansi ya kubuni, (Science Fiction).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS