Tanzania kushughulikia tatizo la ajira za watoto
Serikali ya Tanzania imeanza kushughulikia ripoti ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch ambayo imedai kuwa idadi kubwa ya watoto nchini wamekuwa wakifanyishwa kazi kinyume na sheria
za kimataifa ambazo nchi imeziridhia.