Jiji la Tanga kuwaondoa wafugaji eneo la Pongwe
Zaidi ya wafugaji 300 waliopo eneo la Pingoni nje kidogo mwa jiji la Tanga nchini Tanzania wanatarajiwa kuondolewa ili kupisha maeneo hayo kupimwa kisha kuwamegea wananchi viwanja ili ujenzi wa jiji la Pongwe uweze kuanza mara moja.