Serikali kujenga vyuo vya VETA katika wilaya zote

Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Bi. Jennister Mhagama.

Serikali ya Tanzania inaendelea kutekeleza mpango wake wa ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi katika kila wilaya nchini hasa wilaya ambazo hazina kabisa chuo cha aina hiyo na maeneo yenye miradi mikubwa ya kitaifa kwa manufaa ya watanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS