SSRA inaandaa mfumo mmoja wa malipo ya pensheni

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini Tanzania SSRA Bi. Irene Kisaka

Mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii nchini Tanzania, inakamilisha taratibu kwa ajili ya kuja na mfumo mmoja wa kukokotoa kiwango cha mafao kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS