Betting ya mpira wa miguu yawa gumzo mijini,.. Wenye familia wako radhi kutoacha pesa ya Matumizi nyumbani lakini pesa ya kwenda kutabiri Matokeo ya mipira ya Ulaya wanayo. Ni Alhamisi hii ndani ya Ze Comedy Show.
Submitted by mohamed on Alhamisi , 10th Apr , 2014