Rais wa kwanza wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere, akibadilishana hati za Muungano na aliyekuwa rais wa Zanzibar Abeid Aman Karume
Wasomi nchini Tanzania wamesema miaka 50 inatosha kutoka kwenye serikali mbili na kuwa na moja badala ya kurukia ya tatu kama inavyopendekezwa kwenye Katiba mpya.