Wizkid amponda shabiki wake

Msanii wa muziki wa nchini Nigeria, Wizkid amezua mjadala mkubwa mtandaoni hasa baada ya kumshabulia kwa maneno ya dharau moja ya shabiki ambaye aliamua kumponda kwa kukaa muda mrefu bila kutoa kazi mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS