Lipumba aikosoa bajeti ya serikali
Mtaalam wa uchumi nchini Tanzania Profesa Ibrahim Lipumba amesema bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha haijaweka wazi namna itakavyomsaidia mwananchi kutokana na kile alichoeleza kuwa ni kukosekana kwa vipaumbele katika miradi ya maendeleo

