Kaligraph: Nimetoka mbali sana
Msanii wa muziki, Kaligraph kutoka nchini Kenya, ameweka wazi kuwa, mafanikio aliyoanza kuyavuna sasa kutoka katika muziki, ikiwepo kazi zake kununuliwa sana mtandaoni, ni kazi ya miaka mingi sana na alianza kwa kulipwa pesa ndogo sana akitumbuiza.