Micheal Wambura kukata rufaa TFF. Michael Richard Wambura. Mgombea Urais wa klabu ya Simba Michael Wambura amesema kuwa atakata rufaa kufuatia maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo kumuengua kwa madai kuwa si mwanachama halali wa klabu hiyo Read more about Micheal Wambura kukata rufaa TFF.