Wananchi kataeni rushwa - Mkuchika
Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kuwafichua watumishi wa umma wanaoshiriki katika vitendo vya kuomba na kupokea rushwa mara wananchi wanapokwenda kupata huduma katika taasisi za umma nchini hususani za elimu na afya.

