Wazee Butiama watoa tamko kuhusu waasisi wa taifa

Baadhi ya wazee wilayani Butiama katika mkutano wao na mkuu wa wilaya hiyo.

Wazee wilayani Butiama mkoa wa Mara, wamelaani vikali kauli zinazotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba zinazoashiria kejeli kwa waasisi wa Taifa la Tanzania

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS