Maskini Mil 13 TZ kunufaika na mpango wa serikali

Baadhi ya kaya Masikini mkoani Mara nchini Tanzania

Watu zaidi ya milioni 13 ambao wanaokabiliwa na umasikini mkubwa nchini watanufaika katika mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na serikali ya Tanzania, benki ya dunia na wadau wengine wa maendeleo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS