Rais wa umoja wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, Mh Anna Makinda
Wajumbe wa umoja wa mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanakutana Arusha kwa siku tano kujadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Jumuiya hiyo.