JK Kushughulikia mgogoro wa TZ na Malawi kwa Amani
Rais Kikwete akiwa ziarani mkoani Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe Tanzania haitatumia nguvu kumaliza mvutano kati yake na Malawi kuhusu mpaka kati ya nchi hizo.