Maximo ataka Yanga icheze kama Ujerumani Kocha mkuu wa timu ya Yanga Mbrazil Marcio Maximo. Maximo asema anataka wachezaji kucheza kitimu badala ya kumtegemea mtu mmoja na amesisitiza kuwa hakuna mchezaji wa kipekee katika timu hiyo na ametaka usawa katika timu hiyo Read more about Maximo ataka Yanga icheze kama Ujerumani