Usaili Dance 100% hewani leo
East Africa Television inakuletea show kali ya usaili wa kwanza wa mashindano ya kucheza muziki nchini Tanzania Dance 100% 2014, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya basketball vya Don Bosco Upanga jijini Dar es Salaam.

