Utoro, mimba za wanafunzi zamsikitisha Kikwete

Rais Kikwete katika moja ya shule mkoani Ruvuma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa cha wanafunzi katika Mkoa wa Ruvuma kushindwa kumaliza shule kwa hatua mbali mbali kwa sababu mbali mbali ukiwemo utoro na mimba kwa wanafunzi wa kike.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS