Tanzania kuwa mwenyeji Rollball Afrika 2014

Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya rollball ya Tanzania wakijifua.

Chama cha mchezo wa Rollball Tanzania TRBA kimepata baraka za kuwa mwenyeji wa michuano ya Rollball Afrika kwa mara ya kwanza kutoka chama cha Rollball Afrika, ambapo kwa sasa TRBA wanaangaikia udhamini ili kufanikisha michuano hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS