Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya Mji wa Njombe wakiwa kwenye kikao cha baraza hilo hivi karibuni.
Kutokuwa na makazi imara katika kata mbalimbali hapa nchini kumedaiwa kukwamisha watumishi kufika kufanyakazi katika kata za pembezoni wakikimbilia mjini kwenye makazi imara ya kuishi.