Watoto 7000 wanufaika na mradi wa TASAF, Dodoma Mratibu wa TASAF wilayani Chamwino Christina Mtwale. Zaidi ya watoto 7000 kutoka kaya masikini wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamenufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini unaoendeshwa na mfuko wa taifa wa maendeleo ya jamii TASAF. Read more about Watoto 7000 wanufaika na mradi wa TASAF, Dodoma