TUCTA wataka wafanyakazi wapunguziwe kodi
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi mkoa wa Dar es salaam wamemtaka Rais Jakaya Kikwete awasaidie wapunguziwe kodi kubwa wanazolipa wafanyakazi hapa nchini huku wakitaka wafanyabiashara nao walipe kodi kama wafanyakazi.