TCA yatakiwa kupeleka mchezo wa Chess mashuleni

Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa chess wakichuana jijini Dar es Salaam

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania wa mchezo chess Yusuph Mdoe amesema ili mchezo huo ukuwe na kufika mbali kimataifa ni lazima uchezwe na vijana hasa walio mashuleni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS