Jua Cali awapiga pamba watoto
Star wa michano wa nchini Kenya, Jua Cali ameendelea kuwafikia watoto wa mitaani kutoka sehemu mbalimbali nchini Kenya, na kuwapatia mavazi kupitia kampeni yake ya Hisani ya Ng'arisha Initiative ambayo ameianzisha hivi karibuni.