Tanzania tutazidi kuwa nyuma kisoka - Mkwasa
Kocha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Boniface Mkwasa amesema, iwapo menejimenti ya mpira hususani wasimamizi wa timu hawatachukulia hawatachukua maamuzi magumu ya kuijenga timu upya Tanzania itaendelea kuwa kichwa cha Mwendawazimu katika Soka.