ROLLBALL NA WUSHU WALIA UKATA KWA WADAU WA MICHEZO
Kumekuwa na kamaida kwa wadau wa michezo mbalimbali hapa nchini kukosoa pale timu au wanamichezo wa mchezo fulani wanapofanya vibaya katika michezo wanayoshiriki hasa ile ya kimataifa sasa wito umetolewa kwao na Serikali kwa ujumla kusaidia michezo