kambi haichangii timu kufanya vizuri - Kaijage

Kocha wa Twiga Stars Rogasian Kaijage katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani

Akizungumza na East Africa Radio, Kaijage amesema, kufanya vizuri katika mechi inategemea wanakaa vipi pamoja na mazoezi ikiwemo mecgi za majaribio ndivyo vinachangia kwa asilimia kubwa kuweza kufanya vizuri kwa timu.

Kaijage amesema, Timu yake inahitaji msaada ili kuweza kufikia malengo na bado muda upo licha ya timu hiyo kuwa katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kushiriki mashindano ya All African Games.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS