Safari ya Twiga kuelekea Congo yaendelea kusuasua
Shirikisho la soka nchini TFF limesema, walitarajia timu ya taifa ya Twiga Stars usiku wa jana ingeondoka kuelekea nchini Congo Brazzaville kwa ajili ya mashindano ya All African Games lakini imeshindikana kutokana na kuchelewa kwa tiketi.

