Mashindano wavu Arusha kuanza Agosti 26 mwaka huu Chama cha mpira wa Wavu Tanzania TAVA kimeandaa mashindano ya mchezo huo ambayo yamepangwa kufanyika Agosti 26 mpaka 29 mwaka huu jijini Arusha. Read more about Mashindano wavu Arusha kuanza Agosti 26 mwaka huu