Akina Samatta wawasili kuisubiri Nigeria
Timu ya Taifa Stars inatarajia kuwasili nchini alfajiri ya kesho huku wachezaji wake Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na Mrisho Ngassa wakiwa wameshawasili nchini kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Nigeria Septemba 05 mwaka huu.

