Mafikizolo, Sauti Sol kukamua Dar
Nyota wa muziki wanaoiendesha Afrika, Mafikizolo kutoka Afrika Kusini, Sauti Sol kutoka Kenya na Ali Kiba kutoka Tanzania kati ya wengine wanatarajiwa kuandika historia mpya kwa upande wa tasnia ya burudani hapa Bongo.