TPLB yawadhibiti waamuzi kupanga matokeo ligi kuu Bodi ya ligi nchini TPLB imesema imeboresha ligi nchini kwa kuwa na waamuzi bora na wenye uwezo ili kuweza kupunguza upangaji wa matokeo katika michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara. Read more about TPLB yawadhibiti waamuzi kupanga matokeo ligi kuu