Zaidi ya asilimia 23 ya Watanzania hatarini
Zaidi ya asilimia 23 ya watanzania wametajwa kuwepo katika hatari ya kupatwa na athari za magonjwa yasiyoambukizwa ambayo huchangiwa na tabia hatarishi ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye mafuta uzito uliokithiri na kutokuwa na tabia ya kupima mara kwa