Wanawake msikubali kurubuniwa na wanasiasa: Regina
Wanawake nchini wametakiwa wasikubali kurubuniwa na wanasiasa, bali wauone mwaka huu 2015 wa mabadiliko na kuiweka madarakani serikali sahihi, ili iweze kuwawekea mazingira mazuri ya kufanyia biashara zao, na kuwaboresha sekta ya Afya.
