EAC kutafuta utaratibu mzuri wa manunuzi ya umma Makamu wa Rais Dakta Mohamed Gharib Bilal Makamu wa Rais Dakta Mohamed Gharib Bilal amesisitiza umuhimu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kujitathimini zenyewe na kutafuta utaratibu mzuri kwenye Sekta ya manunuzi ya umma. Read more about EAC kutafuta utaratibu mzuri wa manunuzi ya umma