Si CCM,si UKAWA hakuna wa kutoa Rais-Zitto Kabwe

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe akiwa anawahutubia wananchi wa Iringa katika uwanja wa mwembetogwa.

Chama cha ACT wazalendo kimewataka Watanzania kutodanganyika na sifa wanazovikwa baadhi ya wagombea wa urais katika kipindi hiki cha uchaguzi kwani baadhi yao wameshindwa kudhibiti wizi na ubadhirifu wa mali ya umma katika nyadhifa walizokuwa nazo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS