Jumamosi hii saa 12:30 jioni. Ni usaili wa tatu na wa mwisho wa Dance 100% (2015) Makundi yakuwa 28 na mwisho wa siku ni makundi matano tu yaliyoingia Robo Fainali. Hii ni sehemu ya wakwaza ya mtiti huo. Enjoy!
Submitted by Ndimbumi on Jumanne , 11th Aug , 2015